Timu ya Taifa ya Mali kesho Ijumaa, itacheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Uganda
Ni mchezo utakaowakutanisha nyota wa Yanga Djigui Diarra na Khalid Aucho

Kipindi hiki ligi zikiwa zimesimama, mechi za kujipima nguvu kwa timu za Taifa zinaendelea
Tanzania itasafiri Saudi Arabia kwenda kumenyana na Sudan mchezo ukipigwa Oktoba 15
Wachezaji 10 wa Yanga watakuwa sehemu ya kikosi cha Stars kitakachosafiri Saudi Arabia
ADVERTISE HERE