Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Oktoba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 12:30 jioni
Ni mechi muhimu kwa Yanga kupata ushindi ili kuendelea kujiweka katika nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi
Aidha Azam Fc msimu huu wanaonekana kujipanga kuwania ubingwa, ushindi dhidi yao ni faida katika mbio za ubingwa
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameuchukulia mchezo huu kwa umuhimu mkubwa









ADVERTISE HERE