Jumapili ya wiki hii Wananchi watakuwa uwanja wa Azam Complex kuwakabili wauza Ice Cream Azam FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 12:30 jioni. Mauzo ya tiketi tayari yameanza pia


ADVERTISE HERE