Kufuatia mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc kupelekwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga imetangaza viingilio vipya vya mchezo huo utakaopigwa Jumatatu, Oktoba 23
Mzunguuko ni Tsh 5,000/- wakati VIP A ni Tsh 20,000/- na VIP B ni Tsh 10,000/-
Tiketi za mchezo huo tayari zinapatikana kupitia mitandao ya simu na vituoni


ADVERTISE HERE