Yanga vs Singida BS kupigwa 12:15 jioni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2023
Yanga vs Singida BS kupigwa 12:15 jioni

Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya muda wa mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Singida BS ambao utapigwa Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo utapigwa saa 12:15 jioni badala ya saa 12:30 jioni kama ilivyokuwa awali

Ni FurahiDay kwa Wananchi, siku nyingine ya burudani kutoka kwa mabingwa wa soka Tanzania Bara

Yanga imedhamiria kuibuka na ushindi dhidi ya Singida BS ili kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kabla ya mchezo dhidi ya watani Simba ambao utapigwa Novemba 05

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
57m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’