Mapema leo Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi alipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Mozambique kutoka kwa mchezaji wa Yanga Princess Cidalia Daniel Cuta ambae alikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya wanawake Mozambique, iliyoshiriki michuano ya COSAFA, 2023
Cuta alimkabidhi Hersi medali kama zawadi ya kushukuru kwa mchango mkubwa kutoka timu ya taifa ya Wanawake, Mozambique kupitia mchezaji wake, na kushika nafasi ya tatu katika michuano hiyo


ADVERTISE HERE