Jana kiungo mshambuliaji wa Yanga Skudu Makudubela alipata takribani dakika 20 kwenye mchezo dhidi ya Singida BS uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0
Zilikuwa dakika 20 bora kwa Skudu kwani aliwapa Wananchi burudani ambayo walikuwa wakiisubiri sana
Skudu alionyesha ufundi mwingi mguuni lakini wenye faida kwa timu
Taratibu ameanza kuonyesha makali yake, ni suala la muda tu wakati utafika kila Mwananchi ataimba jina lake
Huyu ni Waziri wa raha! ameletwa kuwapa burudani Wananchi....!
ADVERTISE HERE