Yanga yalaani shabiki wake kupigwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Oct 2023
Yanga yalaani shabiki wake kupigwa

Mkurugenzi wa Sheria klabu ya Yanga Simon Patrick amelaani vikali tukio la shabiki wa Yanga kushambuliwa na mashabiki wa Simba kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana

Video iliyosambaa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii inawaonyesha mashabiki wa Simba wakimshambulia na kumuondosha jukwaani kwa nguvu shabiki wa Yanga

Simon ameitaka Bodi ya Ligi Kuu kuchunguza tukio hilo na kuchukua hatua stahiki dhidi ya wale waliohusika

Yanga itawasilisha rasmi malalamiko yake kwa mamlaka za usimamizi wa soka nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’