Klabu ya Yanga imetuma salamu za rambirambi kwa Mtendaji wake Mkuu Andre Mtine kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Tom Mtine
Mashabiki na Wanachama wa Yanga tunatoa pole kwa familia ya Mzee Mtine, Mwenye ez Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu

ADVERTISE HERE