Uongozi wa Yanga ukiongozwa na Rais Eng. Hersi Said pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Ndg. Alex Ngai pamoja na baadhi ya wachezaji, leo wametembelea kituo cha Watoto wenye uhitaji kiitwacho Casa Famiglia Rosetta, kilichopo Jijini Tanga na kuwapatia misaada mbalimbali





ADVERTISE HERE