Aziz Ki apokea tuzo NIC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2023
Aziz Ki apokea tuzo NIC

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa Yanga Oktoba 2023 (NIC Player Of The Month)

Aziz Ki alitwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga akiwapiku Maxi Nzengeli na Dickon Job

Ki ameondoka na kitita cha Tsh Milioni 4 akiwa mshindi wa kwanza wa tuzo hiyo iliyoanza mwezi Oktoba

Aziz pia alishinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Oktoba akipata tuzo na Tsh Milioni 1 na hivyo kukusanya jumla ya Tsh Milioni 5

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’