Hersi kushuhudia derby Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2023
Hersi kushuhudia derby Afrika Kusini

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said yuko Afrika Kusini jana akitembelea klabu ya Kaizer Chiefs na kupata nafasi za kuzungumza na nguli wa soka Afrika Kusini Kaizer Motaung, mmiliki wa Kaizer Chiefs

Hersi leo atahudhuria mchezo wa ligi kuu kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Orlando Pirates ukiwa ni mchezo wa derby

Yanga na Kaizer Chiefs zina ushirikiano wa karibu, kuelekea msimu huu Kaizer Chiefs walikuja nchini kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi

Safari hii ya Hersi pia inatajwa kuwa ya kimkakati zaidi kwani huenda akarejea na 'mtu' kutoka hapo Chiefs

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’