Tukutane Jangwani ni Supu Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2023
Tukutane Jangwani ni Supu Day

Ng'ombe 10 wanachinjwa leo Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani katika siku maalum ya Wananchi kunywa supu baada ya ushindi wa mabao 5-1 waliopata wiki iliyopita dhidi ya watani zao Simba

Wananchi wamealikwa kusogea Jangwani kunywa supu kwani ipo ya kutosha..!

Hili ni tukio la kihistoria linafanywa na Yanga leo kwa kuwashirikisha mashabiki wake kufurahia baada ya ushindi mnono dhidi ya Simba

Hata wale wa upande wa pili ambao ni wahanga wa kipigo nao wanakaribishwa lakini masharti ni lazima uwe na uwezo wa kula chapati tano...!

Wananchi hawajawahi kuwa na jambo dogo....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’