Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inawania tiketi ya kucheza kombe la Dunia mwaka 2026 wakikabiliwa na mechi mbili muhimu wiki hii na wiki ijayo
Mchezo wa kwanza ni dhidi ya Niger utapigwa Novemba 18 huko Morocco na mchezo wa pili ni dhidi ya Morocco ukipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Novemba 21
Jana, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilitangaza viingilio vya mchezo dhidi ya Morocco ambao Tanzania inahitaji ushindi katika uwanja wake wa nyumbani
Tanzania iko kundi E sambamba na timu za Morocco, Niger, Zambia, Congo na Eritrea
Timu mbili zitakazomaliza kwenye nafasi za juu zitasonga mbele hatua ya mtoano

ADVERTISE HERE