Nyota Yanga katika majukumu ya tinmu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2023
Nyota Yanga katika majukumu ya tinmu za Taifa

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi hana hofu yoyote kuelekea mchezo wa kwanza wa kundi D ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya CR Belouizdad

Licha ya kuwakosa wachezaji wake 11 ambao wako kwenye majukumu ya timu za Taifa, wachezaji hao wanaendelea na program za mazoezi katika mataifa yao yanayojiandaa na mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026

Kikosi cha Tanzania kina wachezaji nane wa Yanga ambao wanajiandaa na michezo dhidi ya Niger (Nov 18) na Morocco (Nov 21)

Stars itasafiri kwenda Morocco Novemba 16 kuikabili Niger kisha kurejea nchini kumalizana na Morocco

Metacha Mnata, Aboutwalib Mshery, Nickson Kibabage, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Clement Mzize ni sehemu ya kikosi hicho

Mganda Khalid Aucho yeye yuko na kikosi cha Uganda kinatorajiwa kucheza mechi dhidi ya Guinea (Nov 17) na Somalia (Nov 21)

Stephane Aziz Ki akiwa na timu ya Taifa ya Burkina Faso watacheza na Guinea Bissau (Nov 17) na Ethiopia (Nov 21)

Mlinda lango Djigui Diarra yuko na Mali wakitarajiwa kucheza mechi dhidi ya Chad (Nov 17) na CAR (Nov 20)

Baadhi ya wachezaji wataungana moja kwa moja ya kikosi cha Yanga nchini Algeria kwa ajili ya kuwakabili CR Belouizdad Novemba 24

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
55m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’