Yanga kuifuata CR Belouizdad usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2023
Yanga kuifuata CR Belouizdad usiku

Ijumaa Novemba 24 2023, saa 4 usiku Yanga itakuwa ugenini huko Algeria kuikabili CR Belouizdad katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika

Yanga inatarajiwa kuanza safari usiku wa leo Jumatatu kuelekea Algeria

Msafara wa kwanza utajumuisha wachezaji ambao hawakuwa na majukumu ya timu za Taifa na kufuatiwa na msafara wa pili ambao utajumuisha wachezaji walio katika timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'

Msafara huo utaondoka baada ya mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia kati ya Tanzania dhidi ya Morocco utakaopigwa kesho Jumanne saa nne usiku

Wachezaji wengine Djigui Diarra, Khalid Aucho na Stephane Aziz Ki wanatarajiwa kuungana na kikosi cha Yanga huko Algeria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’