Uzi wa Ligi ya Mabingwa kuzinduliwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2023
Uzi wa Ligi ya Mabingwa kuzinduliwa

Yanga inatarajiwa kuzindua jezi zake kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi

Alfajiri ya leo kikosi cha Yanga (msafara wa kwanza) uliondoka nchini kuelekea Algeria wakipitia Uturuki tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad ambao utapigwa Ijumaa

Katika mavazi ya wachezaji kifuani utaona jina la WHIZMO ambao ndio wadhamini rasmi kuanzia hatua ya makundi

Uongozi wa Yanga pia unatarajiwa kutoa taarifa rasmi juu ya udhamini waΒ WHIZMOΒ manufaa ambayo Yanga watapata

Jezi zinazokwenda kuzinduliwa ni za Kimataifa kweli...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’