Mchezo wa Yanga dhidi ya Mbeya City kupangiwa tarehe nyingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2018
Mchezo wa Yanga dhidi ya Mbeya City kupangiwa tarehe nyingine
Ikiwa imepita siku moja tu tangu itoe ratiba ya kukamilisha michezo iliyobaki ya ligi kuu ya Vodacom, Bodi ya ligi imeifanyia marekebisho ratiba hiyo.

Bodi ya ligi imetoa taarifa ya marekebisho ya mchezo mmoja namba 199 kati ya Mbeya City na Yanga uliokuwa umepangwa kufanyika Mei 1, 2018 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya, sasa utapangiwa tarehe nyingine.

Kulingana na taarifa hiyo, uamuzi wa kuipangia tarehe nyingine ni kukidhi matakwa ya Kanuni inayotaka nafasi kati ya mechi moja na nyingine isiwe chini ya angalau saa 72.

Yanga itacheza na Simba Aprili 29, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivyo isingekuwa rahisi kucheza May 01 ikiwa ni siku mbili tu zimepita.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’