Jumamosi Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly
Baada ya kupoteza mchezo uliopta dhidi ya CR Belouizdad, Yanga inahitaji kushinda mchezo dhidi ya Al Ahly ambao ni mchezo wa kwanza nyumbani kundi D
Hii ni mechi ya kihistoria kwa Yanga, baada ya kutoshiriki kwa muda mrefu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa, Yanga imepania kurejea kibabe
Kama hujakata tiketi, basi una siku ya leo kukamilisha, kwani ni uhakika kwa Mkapa ni 'full house'



ADVERTISE HERE