Huku Jeshi, kule Tabulele!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2023
Huku Jeshi, kule Tabulele!

Baada ya kupata mapokezi makubwa kutoka kwa Wananchi hapo jana, Msanii Riger maarufu Tabelele moja kwa moja alielekea studio kurekodi wimbo maalum wa hamasa akishirikishwa na Harmonize aka Jeshi

Katika wimbo huo ambao huenda akaachiwa leo, pia zitasikika sauti za mashabiki wa Yanga

Yanga imemtoa Riger kijijini huko DR Congo na sasa anakwenda kuwa maarufu...!

Jumamosi Tabulele atawapa mashabiki wa Yanga burudani kabla ya mchezo wz ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’