Malengo ni ushindi dhidi ya Al Ahly - Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Dec 2023
Malengo ni ushindi dhidi ya Al Ahly - Mwamnyeto

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto amesema wamefanya maandalizi ya kutosha na wamepania kushinda mchezo dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumamosi katika uwanja wa Mkapa

Mchezo huo wa pili kundi D Ligi ya mabingwa barani Afrika, utapigwa saa 1 usiku

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Mwamnyeto alisema wanatambua mchezo huo hautakuwa mwepesi lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata alama tatu

"Nawaambia mashabiki wetu waje kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kwani tumejipanga kupata ushindi"

"Tumejiandaa vizuri, tumefanyia kazi makosa yaliyojitokeza katika mchezo uliopita, tuko tayari, kupata alama tatu nyumbani ni jambo la lazima," alisema Mwamnyeto

Yanga inahitaji kushinda mchezo dhidi ya Al Ahly ili kuweka hai matumaini ya kuisaka tiketi ya kucheza robo fainali ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’