Baba Mzazi wa Ibrahim Bacca Mzee Abdallah Hamad leo ameibuka Makao Makuu ya Yanga Jangwani kuonana na Wazee wa klabu ya Yanga
Dua maalum imefanyika kuiombea Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa






ADVERTISE HERE