Jana Yanga ilitimiza siku mbili za maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama ambao utapigwa kesho Ijumaa dimba la Baba Yara, Kumasi Ghana
Unaweza kusema wachezaji wa Yanga 'wanautaka' kwelikweli mchezo huo, ushindi utaweka hai matumaini katika kuwania tiketi ya kutinga robo fainali
Yanga leo itakamilisha mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Baba Yara utakaotumika kesho kwenye mchezo ambao utapigwa saa 1 usiku kwa saa za Tanzania ambako Ghana ni saa 10 jioni








ADVERTISE HERE