Kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Yanga (NIC Insurance Player of the Month) Novemba 2023
Pacome ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura kwa wingi na mashabiki wa Yanga akiwashinda Khalid Aucho na Clement Mzize
Anakuwa mchezaji wa pili kushinda tuzo hiyo baada ya Stephane Aziz Ki aliyetwaa tuzo hiyo kwa mwezi Oktoba na kujinyakulia kitita cha Tsh Milioni 4

ADVERTISE HERE