Jana kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa uwanja wa Azam Complex, kiungo Shekhan IBrahim Khamis alitambulishwa kwa mashabiki wa Yanga
Yanga ilimsajili Shekhan kutoka klabu ya JKU ya Visiwani Zanzibar
Akiwa na umri wa miaka 18 tu, Shekhan anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji wenye vipaji vikubwa visiwani Zanzibar na ametabiriwa kuwa atafanya mambo makubwa akiwa na klabu ya Yanga
Safari yake ya maisha na Yanga imeanzia Chamazi...




ADVERTISE HERE