Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Dodoma kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Tabora United
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema mchezo huo utapigwa uwanja wa Jamhuri licha ya Bodi ya Ligi hapo jana kutangaza kuufungulia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wa mkoani Tabora ambao hutumiwa na Tabora United








ADVERTISE HERE