Kikosi cha Yanga tayari kiko visiwani Zanzibar ambapo jioni ya leo timu ilifanya mazoezi katika dimba la New Amaan Complex kujiandaa na mchezo wa kwanza kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja huo
ADVERTISE HERE