Mshambuliaji wa Yanga Kennedy Musonda amejumuishwa katika kikosi cha mwisho cha Zambia kinachokwenda kushiriki michuano ya Afcon 2023 huko Ivory Coast
Katika washambuliajii wanne waliojumuishwa katika kikosi hicho, ni Musonda pekee anayecheza soka barani Afrika
Wengine ni Patson Daka (Leicester City), Fasion Sakala (UAE) na Lameck Banda (Leece)

Kila la kheri Musonda..!
ADVERTISE HERE