Nyota nane Yanga kushiriki Afcon 2023

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2024
Nyota nane Yanga kushiriki Afcon 2023

Nyota watano wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachokwenda kushiriki michuano ya Afcon 2023 inayofanyika Ivory Coast

Mlinda lango Metacha Mnata, walinzi Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Ibrahim Bacca pamoja na kiungo Mudathir Yahya wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 31 ambao mapema leo waliondoka kuelekea Misri kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya michuano hiyo

Wachezaji nane wa Yanga sasa wanakwenda kushiriki michuano ya Afcon 2023 baada ya Stephane Aziz Ki kujumuishwa Burkina Faso, Djigui Diarra (Mali) na Kennedy Musonda (Zambia)

Kikosi kamili cha Stars

1.Aishi Manula

2.Kwesi Kawawa
3.Beno Kakolanya
4.Metacha Mnata

5.Ibrahim Abdullah
6.Bakari Mwamnyeto
7.Dickson Job
8.Haji Mnoga
9.Mohamed Hussein
10.Danilo Maino
11.Novatus Dismas
12.Adam Kassa
13.Abdi Banda
14 Abdulmalick Zacharia

15.Sospeter Bajana
16.Muzamiru Yasin
17.Himid Mao
18.Mudathir Yahaya
19.Mourice Abraham

20.Ben Starkie
21.Abdul Soup
22.Tariq Yusuf
23.Kibu Deniss
24.Simon Msuva
25.Mbwana Samatta
26.Feisal Salum
27.Lusajo Mwaikenda
28.Hamdun
29.Charles M'mombwa
30.Isack Kachwele
31. Twariq Abdillah

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’