Baada ya wiki mbili za mazoezi ya Gym, kikosi cha Yanga sasa kinatarajiwa kuanza mazoezi ya dimbani kutengeneza mfumo wa uchezaji.
Kocha George Lwandamina aliwapeleka wachezaji Gym kwa lengo la kuimarisha miili yao ili kuwaepusha na majeruhi yasiyo ya lazima.
Aidha kabla ya kuanza mazoezi hayo, wachezaji wote walipimwa afya zao.
Wachezaji wote wambao hawakuwa wameripoti kambini kutokana na sababu mbalimbali wanatarajiwa kujiunga na wenzao kuanzia kesho Jumatatu.

ADVERTISE HERE