Dabi ya kinadada inapigwa leo saa 10 jioni katika uwanja wa Azam Complex, Yanga Princess wakiwa wageni wa Simba Queens
Baada ya kushinda mechi mbili zilizopita, hii ni nafasi nyingine kwa Yanga Princess kuendeleza rekodi ya ushindi wa asilimia 100 msimu huu
Itakuwa mechi ya kisasi kwa Yanga Princess baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba Queens kwa mikwaju ya penati
Msimu huu Yanga Princess imeimarika zaidi, hivyo hawataingia kinyonge katika mchezo huo tofauti na mechi zilizopita misimu ya nyuma
ADVERTISE HERE