Konkoni na Yanga ni suala la muda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2024
Konkoni na Yanga ni suala la muda

Mshambuliaji wa Yanga Hafiz Konkoni hayuko visiwani Zanzibar na kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Konkoni alikosa mechi mbili zilizopita dhidi ya Jamus Fc na Jamhuri na pengine anaweza kukosa mchezo wa leo dhidi ya KVZ

Licha ya mwenyewe kutoa ufafanuzi kuwa ana ruhusa ya uongozi ili kushughulikia masuala binafsi, uongozi wa Yanga uko kwenye mazungumzo na mshambuliaji huyo raia wa Ghana na pengine huenda akatolewa kwa mkopo

Tayari Yanga imemsajili nyota mwingine raia wa Ghana Augustine Okrah na hivyo italazimika kukata jina moja la mchezaji wa kigeni

Mpaka sasa ni Konkoni pekee ambaye hajacheza mechi yoyote visiwani Zanzibar miongoni mwa nyota wa kigeni waliokuwa kwenye hatihati ya kuenguliwa

Winga Jesus Moloko alicheza mechi iliyopita, Skudu alipata nafasi katika mechi zote mbili wakati Gift Fred akiwa mchezaji tegemeo katika safu ya ulinzi

Konkoni ameshindwa kumshawishi kocha Miguel Gamondi akifunga mabao mawili pekee katika mashindano yote tangu alipotua Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
40m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’