Matchday : Yanga vs APR, QF Mapinduzi Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2024
Matchday : Yanga vs APR, QF Mapinduzi Cup

Michuano ya kombe la Mapinduzi inaendelea visiwani Zanzibara ambapo mechi za robo fainali zinaanza kupigwa leo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wao watachuana na APR katika mchezo wa pili wa robo fainali ambao utapigwa New Amaan Complex, saa 2:15 usiku

Mchezo wa mapema ni kati ya KVZ dhidi ya Mlandege ambao utapigwa saa 10 jioni

Pamoja na kutumia wachezaji wengi ambao sio wa kikosi cha kwanza, Yanga ilifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo kibabe ikiongoza kundi C baada ya kushinda mechi mbili na kutoka sare mchezo mmoja

Hautakuwa mchezo mwepesi kwani APR wana timu imara mchezo wao wa mwisho katika kundi B walitoshana nguvu na Simba

Yanga imepania kushinda mchezo huo ili kutinga nusu fainali na pengine huenda ikakutana tena na watani zao Simba katika hatua inayofuata. Simba kesho watachuana na Jamhuri katika mchezo mwingine wa robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’