Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize
Mzize ni zao la Yanga, akilelewa katika kikosi cha Yanga U20 kabla ya kocha Nasreddine Nabi kumuamini na kumpandisha katika timu ya wakubwa
Unaweza kusema kwa sasa Mzize ni mshambuliaji tegemeo katika kikosi cha Yanga akishirikiana na Mzambia Kennedy Musonda
Mzize leo anatarajiwa kuiongoza Yanga katika mchezo wa robo fainali kombe la Mapinduzi dhidi ya APR
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Happy Birthday Mzize..!
ADVERTISE HERE