Kila la kheri Stars dhidi ya Morocco leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2024
Kila la kheri Stars dhidi ya Morocco leo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Afcon 2023 katika mchezo dhidi ya Morocco utakaopigwa saa 2 usiku

Utakuwa mchezo wa kwanza kundi F linalojumuisha timu za Tanzania, Morocco, Zambia na DR Congo

Mchezo mwingine ni kati ya DR Congo dhidi ya Zambia ambao utapigwa saa 5 usiku

Kwenye makaratasi Morocco wanaonekana washindi kutokana na ubora na uzoefu wa kikosi chao

Kikosi cha kocha Abdelhak Benchikha kimesheheni wachezaji wengi ambao hii ni mara yao ya kwanza kushiriki michuano ya Afcon

Utawazungumzia nahodha Mbwana Samatta, Simon Msuva, Himid Mao, Mudathir Yahya, Feisal Salum, Mohamed Hussein na mlinda lango Aishi Manula kuwa ndio wachezaji wenye uzoefu wa michuano hiyo kwani walikuwa sehemu ya kikosi cha mwaka 2019 kilichoshiriki michuano iliyofanyika Misri

Lakini michuano ya mwaka huu imekuwa na matokeo yasiyotarajiwa kwenye baadhi ya mechi. Zilizoonekana timu ndogo 'under-dog' ziliweka ngumu kwa timu kubwa

Tanzania inayo nafasi ya kuonyesha kuwa mwaka huu hawakwenda Ivory Coast kushiriki tu michuano hiyo bali kushindana

Kila la kheri Stars...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’