Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra ameorodheshwa miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri katika mechi za raundi ya kwanza hatua ya makundi michuano ya Afcon 2023 akiwa na timu ya Taifa ya Mali
Diarra alikaa langoni wakati Mali ikiichapa Afrika Kusini mabao 2-0 ambapo katika mchezo huo uhodari wake langoni uliihakikishia Mali kuondoka na cleensheet

Pongezi nyingi kwake..!
ADVERTISE HERE