Klabu ya Yanga leo itakuwa na Mkutano na Viongozi wa Matawi yote ya mikoa ya Dar es salaam na Pwani
Mkutano huo utafanyika kuanzia saa 5 asubuhi Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
Ajenda mbalimbali zitazungumzwa katika Mkutano huo ambao pia utatoa fursa kwa Wanachama kulipia kadi zao pamoja na usajili mpya
ADVERTISE HERE