Yanga Princess imeshindwa kutamba uwanja wa Azam Complex ikikubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa JKT Queens katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake
Hicho ni kipigo cha tatu msimu huu kutoka katika mechi sita tu ikiwa pia ni mechi ya pili mfululizo Yanga Princess wanapoteza katika uwanja wa nyumbani
Msimu huu huenda ukawa mbaya zaidi kwa Yanga Princess..!


ADVERTISE HERE