Yanga TV Show kuanza kuonekana Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2018
Yanga TV Show kuanza kuonekana Ijumaa
Kile kipindi cha televisheni cha Yanga ambacho ilikuwa kianze kuonekana jana April 01 katika runinga ya Azam kupitia chaneli ya Azam Sport 2, sasa kitaanza kuruka hewani Ijumaa ya wiki hii.

Uongozi wa Yanga umetoa taarifa kuwa kipindi hicho kilishindwa kwenda hewani jana kutokana na kuonyeshwa mubashara kwa tuzo za filamu.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema kipindi hicho kitaruka hewani siku ya Ijumaa, April 06, saa moja kamili jioni kupitia chaneli ya Azam Sport 2.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’