Mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Housing ya Njombe utapigwa Januari 30 katika uwanja wa Azam Complex
Mechi iyo ilipaswa kupigwa mwezi uliopita lakini haikuwezekana kutokana na muingiliano wa ratiba ya mechi za Yanga na timu ya Taifa
Bodi ya Ligi pia inatarajiwa kutangaza kurejea kwa mechi za Ligi Kuu ya NBC
ADVERTISE HERE