Stars kurejea Jumatatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2024
Stars kurejea Jumatatu

Baada ya kuondoshwa katika michuano ya Afcon 2023 inayoendelea huko Ivory Coast, kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinatarajiwa kurejea nchini kesho Jumatatu

Yanga ilikuwa na wachezaji wanne katika kikosi hicho kilichokusanya alama 2 kwa kutoka sare mechi mbili

Bodi ya Ligi tayari imewasha taa ya kijani kuhusu urejeo wa ligi na kombe la FA ambapo imetoa ratiba ya mechi za viporo za FA

Yanga itachuana na Housing Januari 30, Simba ikichuana na Tembo Fc Januari 31

Ni wazi wachezaji waliokuwa Stars hawatakuwa sehemu ya mechi hizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’