Matchday : Yanga vs Housing Fc, FA Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2024
Matchday : Yanga vs Housing Fc, FA Cup

Mwezi mmoja ni kipindi kirefu sana kukaa bila kuishuhudia Yanga ikicheza. Lakini leo burudani inarejea rasmi pale uwanja wa Azam Complex wakati Yanga itakapoumana na Housing Fc katika mchezo wa raundi ya pili kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo, wanaianza kampeni ya kutetea taji lao walilotwaa kwa misimu miwili mfululizo

Mchezo utapigwa kaunzia saa moja usiku huku uongozi wa Yanga ukiwataka Wananchi kuwahi mapema uwanjani kwani kuna 'surprise' yao. Lile 'teka' la mabao huenda likatambulishwa rasmi leo

Mkufunzi wa Yanga Miguel Gamondi amesema haifahamu Housing Fc, hivyo wanakwenda kupambana wakiwa kamili pasipo kudharau

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’