Baada ya kuondoshwa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la FA na Singida United juzi, kikosi cha Yanga kimerejea mkoani Morogoro kuendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Welayta Dicha.
Leo asubuhi Yanga imefanya mazoezi katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Leo asubuhi Yanga imefanya mazoezi katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

ADVERTISE HERE