Tuzo ya kwanza ya mchezaji bora wa mwezi kwa mwaka 2024 inawaniwa na Clement Mzize, Gift Fred na kinda kutoka U20 Wilson Chigombo
Tuzo hiyo inayodhaminiwa na NIC (NIC Player of the month) inatolewa kwa mchezaji aliyefanya vizuri zaidi katika mwezi husika

Nyota hao walikuwa na wakati mzuri katika michuano ya kombe la Mapinduzi, Mzize jana akijiweka katika nafasi nzuri ya kushinda baada ya kufunga hat-trik katika mchezo wa raundi ya pili kombe la FA dhidi ya Housung Fc
Nani anastahili kushinda tuzo hiyo? Kura zinapigwa kupitia Yanga Official App
ADVERTISE HERE