Droo ya hatua ya 32 bora michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga wamepangwa kucheza na Polisi Tanzania
Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo huo ambao utapigwa jijini Dar es salaam
Kama itavuka hatua hiyo, mchezo utakaofuata (16 bora) ni dhidi ya Dodoma Jiji au Biashara United



ADVERTISE HERE