Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra leo yuko uwanjani akiiwakilisha Mali kwenye mchezo wa robo fainali michuano ya Afcon 2023 dhidi ya wenyeji Ivory Coast
Diarra ameiwakilisha vyema Yanga na ligi kuu ya NBC katika michuano hiyo akikaa langoni katika mechi zote nne walizocheza Mali kuanzia hatua ya makundi

ADVERTISE HERE