Sureboy nje wiki mbili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2024
Sureboy nje wiki mbili

Kiungo wa Yanga Salum Abubakar ' Sure Boy' anaweza kuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kutokana na majeraha aliyopata katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema vipimo vya awali vimeonyesha Sureboy ameumia mfupa mdogo wa bega la mkono wa kulia

Walter amesema Sureboy atafanyiwa vipimo zaidi pale kikosi cha Yanga kitakaporejea jijini Dar es salaam ambapo pia atafanyiwa upasuaji mdogo

"Daktari amesema Sureboy atafanyiwa vipimo zaidi mara baada ya kufika Dar es salaam na kufanyiwa upasuaji huo mdogo," alisema

Kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’