Kesho Jumatatu Wananchi watakuwa uwanja wa Azam Complex kuikabili Dodoma Jiji katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC
Ni alama tatu tu ambazo Yanga inahitaji ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa saa 1 usiku
ADVERTISE HERE