Mambo ya Yanga TV Show hayo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2018
Mambo ya Yanga TV Show hayo
Kipindi cha runinga cha klabu ya Yanga kitakachotambulika kwa jina la 'Yanga TV Show' kinaanza kuruka hewani rasmi Ijumaa hii, April 06 kuanzia saa moja kamili jioni kupitia chaneli ya Azam Sport 2.

Kulingana na Afisa Habari wa Yanga, Dismas Ten kipindi hicho si cha kukosa kwa shabiki kindakindaki kwani kitasheheni mambo motomoto yanayoihusu klabu ya Yanga.

Yanga TV Show ilikuwa ianze juzi April 01 lakini hafla ya tuzo za filamu iliyorushwa mubashara kutoka Mlimani City ilipelekea kipindi hicho kubadilishiwa tarehe na muda wa kuruka hewani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’