Yanga, Agha Khan wasaini ushirikiano wa kihistoria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2024
Yanga, Agha Khan wasaini ushirikiano wa kihistoria

Klabu ya Yanga leo Februari 6, 2024 imesaini mkataba wa mahusiano na Hospital ya Aga Khan kutoa huduma za afya kwa bei nafuu kwa Wanachama wa Yanga

Huduma hiyo itapatikana katika matawi ya Aga Khan kwenye maeneo mbalimbali nchini Tanzania

Makubaliano haya yatahusisha pia matibabu kwa Wachezaji

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema lengo la makubaliano hayo ni kuwafikia Wanachama wa Yanga katika huduma za afya kwa bei pungufu

"Lengo la klabu ya Yanga kuingia mahusiano na Hospitali ya Aga Khan ni kuwafikia wanachama wetu katika huduma za afya kwa bei pungufu"

"Tunafahamu kuwa kuna watu wanafikra kuwa Hospital ya Agha Khan ni hospitali ya bei ghali lakini niwatoe wasiwasi mtakapokwenda kwenye matawi ya Agha Khan maeneo mliyopo kwa kutumia kadi za uanachama za Yanga, mtapata punguzo," alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’